Farnes Company provides modern media, assurance, business and digital services with reliable support, pro communication and easy appointments for all clients OK
Farnes TV ni kituo cha televisheni cha kidigitali kinachotoa habari za kuaminika, burudani, elimu, makala, vipindi mubashara na maudhui ya kuhamasisha jamii. Dhamira yetu ni kuelimisha, kuunganishi na kuwezesha jamii kupitia matangazo bora na ya wakati. Farnes TV inatoa jukwaa kwa vijana, ubunifu na simulizi mbalimbali kutoka Afrika.
Comforter Orphans Foundation ni taasisi ya kibinadamu inayojikita katika kuwasaidia yatima, watoto walio katika mazingira magumu na familia zenye changamoto. Tunatoa malezi, elimu, malazi, chakula, uwezeshaji na programu za maendeleo ya jamii. Lengo letu ni kurejesha tumaini, heshima na fursa kwa wanaohitaji msaada wa muda mrefu.

At Farnes Company, we are dedicated to empowering businesses through innovative media and digital services. Our mission is to provide modern solutions that enhance your operational efficiency and reach.
We love our customers, so feel free to visit during normal business hours.
Bangwe Bay, Tanzania
PHONE:+255687119402 EMAIL: comfortercmp@gmail.com
Open today | 09:00 am – 05:00 pm |
Asante kwa kuchagua Farnes Company. Kwa huduma za haraka, tumia WhatsApp au barua pepe yetu rasmi.

Get 10% off your first purchase when you sign up for our newsletter!